Swali: Baada ya kupita juu ya Njia watu wataingia Peponi moja kwa moja au watakuwa kwenye daraja?

Jibu: Kuna daraja kabla ya kuingia kwao Peponi. Watafanyiwa hesabu waumini baina yao na kulipana kisasi. Haya yanawahusu waumini peke yao. Wakishasafishwa ndio wataidhinishwa kuingia Peponi. Hadiyth hii imekwishatangulia.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24388/ماذا-يكون-بعد-المرور-على-الصراط
  • Imechapishwa: 05/10/2024