Swali 687: Mtu aliacha kutumia Siwaak kabla ya swalah kwa kusahau. Je, ni Sunnah kwake kutumia Siwaak akiwa ndani ya swalah?
Jibu: Haijawekwa katika Shari´ah kwa mwenye kuswali kutumia Siwaak akiwa ndani ya swalah yake, ni mamoja ikiwa aliacha kutumia Siwaak kabla ya swalah kwa kusahau au kwa kukusudia. Bali Siwaak imesuniwa wakati wa kuingia ndani ya swalah, kabla ya Takbiyr.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/110)
- Imechapishwa: 21/10/2026
Swali 687: Mtu aliacha kutumia Siwaak kabla ya swalah kwa kusahau. Je, ni Sunnah kwake kutumia Siwaak akiwa ndani ya swalah?
Jibu: Haijawekwa katika Shari´ah kwa mwenye kuswali kutumia Siwaak akiwa ndani ya swalah yake, ni mamoja ikiwa aliacha kutumia Siwaak kabla ya swalah kwa kusahau au kwa kukusudia. Bali Siwaak imesuniwa wakati wa kuingia ndani ya swalah, kabla ya Takbiyr.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/110)
Imechapishwa: 21/10/2026
https://firqatunnajia.com/atumie-siwaak-ndani-ya-swalah/