Atapike aliyekula kwa kusimama?

606 – Aliulizwa Shaykh wetu kuhusu kutapika kwa ambaye amekunywa hali ya kusimama?

Jibu: Ameipokea Muslim na hukumu hiyo imefutwa, kwani Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikunywa akiwa amesimama wala hakutapika. Inawezekana vilevile ni dhana isiyo sahihi kutoka kwa baadhi ya wapokezi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 215
  • Imechapishwa: 12/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´