101 – Nilimuuliza kuhusu mtu aliyekuta unyevunyevu katika nguo yake baada ya kulala na akawa na shaka kama ni manii au madhiy?
Jibu: Msingi kwa mtu aliyeona maji akiwa amelala ni kwamba asioge hadi awe na yakini kuwa ni manii.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 59
- Imechapishwa: 15/03/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
101 – Nilimuuliza kuhusu mtu aliyekuta unyevunyevu katika nguo yake baada ya kulala na akawa na shaka kama ni manii au madhiy?
Jibu: Msingi kwa mtu aliyeona maji akiwa amelala ni kwamba asioge hadi awe na yakini kuwa ni manii.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 59
Imechapishwa: 15/03/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/ataoga-pale-atapohakikisha-kuwa-ni-manii/