Swali: Mwanamke aliyepewa talaka anaishi na binti yake aliyekufa ubongo wake. Wanaume wengi wamemchumbia, lakini amewakataa kwa kukhofia kufanya mapungufu kwa sababu ya kumtunza msichana wake mgonjwa. Je, anatenda dhambi kwa kukataa kuolewa?
Jibu: Wajulishe wachumba. Ikiwa wanakubaliana nayo, hapana vibaya. Asiishi bila ya mume.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (44)
- Imechapishwa: 18/07/2024
Swali: Mwanamke aliyepewa talaka anaishi na binti yake aliyekufa ubongo wake. Wanaume wengi wamemchumbia, lakini amewakataa kwa kukhofia kufanya mapungufu kwa sababu ya kumtunza msichana wake mgonjwa. Je, anatenda dhambi kwa kukataa kuolewa?
Jibu: Wajulishe wachumba. Ikiwa wanakubaliana nayo, hapana vibaya. Asiishi bila ya mume.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (44)
Imechapishwa: 18/07/2024
https://firqatunnajia.com/asiishi-bila-ya-mume/