Swali: Inajuzu kwa mtu kuchinja ´Aqiyqah nje ya mji wake kwa sababu kuna mafakiri wengi huko?
Jibu: ´Aqiyqah na Udhhiyah vinatakiwa kuchinjwa majumbani. Visichinjwe mahala kwengine. Hii ndio Sunnah. Ikiwa unataka kuwapa swadaqah walio nje ya mji watumie pesa au chakula. Udhhiyah na ´Aqiyqah ni nembo ambazo hazitakiwi kufanywa pahala pengine.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 13/02/2017
Swali: Inajuzu kwa mtu kuchinja ´Aqiyqah nje ya mji wake kwa sababu kuna mafakiri wengi huko?
Jibu: ´Aqiyqah na Udhhiyah vinatakiwa kuchinjwa majumbani. Visichinjwe mahala kwengine. Hii ndio Sunnah. Ikiwa unataka kuwapa swadaqah walio nje ya mji watumie pesa au chakula. Udhhiyah na ´Aqiyqah ni nembo ambazo hazitakiwi kufanywa pahala pengine.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (39) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%208%20-%2011%20-%201436.mp3
Imechapishwa: 13/02/2017
https://firqatunnajia.com/aqiyqah-na-udhhiyah-vinachinjwa-nyumbani/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket