Swali: Ni ipi hukumu ya mtu aliyelala na mke wake katika kitanda kimoja, lakini hawakujamiiana, huku akiwa anampapasa kwa shahawa lakini hakutokwa na manii? Je, ni wajibu kwake kuoga josho katika hali hii?
Jibu: Ikiwa mwanaume amelala na mke wake na akamgusa kwa shahawa bila kuingiza dhakari katika uke na bila kutokwa na manii, basi si wajibu kwake kuoga josho.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/294)
- Imechapishwa: 14/11/2026
Swali: Ni ipi hukumu ya mtu aliyelala na mke wake katika kitanda kimoja, lakini hawakujamiiana, huku akiwa anampapasa kwa shahawa lakini hakutokwa na manii? Je, ni wajibu kwake kuoga josho katika hali hii?
Jibu: Ikiwa mwanaume amelala na mke wake na akamgusa kwa shahawa bila kuingiza dhakari katika uke na bila kutokwa na manii, basi si wajibu kwake kuoga josho.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/294)
Imechapishwa: 14/11/2026
https://firqatunnajia.com/aoge-ambaye-amempapasa-mke-wake-bila-kutokwa-na-kitu/