Swali: Hutokwa majimaji pamoja na mkojo au baada yake, bila ya kupata shahawa wala msisimko wa mwili. Je, ni wajibu kwangu kuoga josho? Je, majimaji hayo ni najisi?
Jibu: Kinachokutoka pamoja na mkojo bila shahawa ni wadiy, nayo ni najisi kama mkojo. Si wajibu kwako kuoga josho kwa sababu ya kutoka kwake. Lakini ni wajibu kuosha sehemu iliyofikiwa na majimaji hayo.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/292)
- Imechapishwa: 14/11/2026
Swali: Hutokwa majimaji pamoja na mkojo au baada yake, bila ya kupata shahawa wala msisimko wa mwili. Je, ni wajibu kwangu kuoga josho? Je, majimaji hayo ni najisi?
Jibu: Kinachokutoka pamoja na mkojo bila shahawa ni wadiy, nayo ni najisi kama mkojo. Si wajibu kwako kuoga josho kwa sababu ya kutoka kwake. Lakini ni wajibu kuosha sehemu iliyofikiwa na majimaji hayo.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/292)
Imechapishwa: 14/11/2026
https://firqatunnajia.com/majimaji-yanayotoka-baada-ya-kukojoa/