Imaam an-Nawawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
198 – Usaamah bin Zayd (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
يُؤْتَى بالرَّجُلِ يَوْمَ القيَامَةِ فَيُلْقَى في النَّارِ، فَتَنْدَلِقُ أقْتَابُ بَطْنِهِ فَيدُورُ بِهَا كَمَا يَدُورُ الحِمَارُ في الرَّحَى، فَيَجْتَمِعُ إِلَيْه أهْلُ النَّارِ، فَيَقُولُونَ: يَا فُلانُ، مَا لَكَ؟ أَلَمْ تَكُ تَأمُرُ بالمعْرُوفِ وَتنهَى عَنِ المُنْكَرِ؟ فَيقُولُ: بَلَى، كُنْتُ آمُرُ بِالمَعْرُوفِ وَلا آتِيهِ، وأنْهَى عَنِ المُنْكَرِ وَآتِيهِ
“Ataletwa mtu siku ya Qiyaamah na kutumwa Motoni na utumbo utoke nje na azungushwe kama ambavyo punda anavyozunguka katika kinu. Watu wa Motoni watamkusanyikia na kusema: “Ee Fulani! Je, si ulikuwa ukiamrisha mema na ukikataza maovu?” Aseme: “Ndio, nilikuwa nikiamrisha mema na siyafanyina nikikataza maovu na nayafanya.”[1]
Ni wajibu kwa mtu aanze na nafsi yake na aiamrishe mema na aikataze maovu. Mtu mkubwa ambaye ana haki juu yako baada ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni nafsi yako. Anza kwanza na nafsi yako kisha ndio ujaribu kuwanasihi ndugu zako, uwaamrishe mema na uwakataze maovu ili uwe mwema na mtengenezaji.
[1] al-Bukhaariy (3267) na Muslim (2989).
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (02/461)
- Imechapishwa: 25/08/2025
Imaam an-Nawawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
198 – Usaamah bin Zayd (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
يُؤْتَى بالرَّجُلِ يَوْمَ القيَامَةِ فَيُلْقَى في النَّارِ، فَتَنْدَلِقُ أقْتَابُ بَطْنِهِ فَيدُورُ بِهَا كَمَا يَدُورُ الحِمَارُ في الرَّحَى، فَيَجْتَمِعُ إِلَيْه أهْلُ النَّارِ، فَيَقُولُونَ: يَا فُلانُ، مَا لَكَ؟ أَلَمْ تَكُ تَأمُرُ بالمعْرُوفِ وَتنهَى عَنِ المُنْكَرِ؟ فَيقُولُ: بَلَى، كُنْتُ آمُرُ بِالمَعْرُوفِ وَلا آتِيهِ، وأنْهَى عَنِ المُنْكَرِ وَآتِيهِ
“Ataletwa mtu siku ya Qiyaamah na kutumwa Motoni na utumbo utoke nje na azungushwe kama ambavyo punda anavyozunguka katika kinu. Watu wa Motoni watamkusanyikia na kusema: “Ee Fulani! Je, si ulikuwa ukiamrisha mema na ukikataza maovu?” Aseme: “Ndio, nilikuwa nikiamrisha mema na siyafanyina nikikataza maovu na nayafanya.”[1]
Ni wajibu kwa mtu aanze na nafsi yake na aiamrishe mema na aikataze maovu. Mtu mkubwa ambaye ana haki juu yako baada ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni nafsi yako. Anza kwanza na nafsi yako kisha ndio ujaribu kuwanasihi ndugu zako, uwaamrishe mema na uwakataze maovu ili uwe mwema na mtengenezaji.
[1] al-Bukhaariy (3267) na Muslim (2989).
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Riyaadh-is-Swaalihiyn (02/461)
Imechapishwa: 25/08/2025
https://firqatunnajia.com/anza-na-nafsi-yako-kwanza/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket