57 – Nilimuuliza kuhusu anayekataa kutoa zakaah na akapigana juu ya hilo anataamiliwa kama aliyeritadi?
Jibu: Ndiyo, kwa sababu huku ni kukanusha. Lakini kujizuilia peke yake ni ubakhili ambao ni maasi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 44
- Imechapishwa: 08/08/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
57 – Nilimuuliza kuhusu anayekataa kutoa zakaah na akapigana juu ya hilo anataamiliwa kama aliyeritadi?
Jibu: Ndiyo, kwa sababu huku ni kukanusha. Lakini kujizuilia peke yake ni ubakhili ambao ni maasi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 44
Imechapishwa: 08/08/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/anayekataa-kutoa-zakaah-na-yuko-tayari-kupigana-kwa-ajili-ya-hilo/