Swali: Anayesoma Suurah katika swalah – ni mamoja al-Faatihah au nyingine – na akahisi mwishoni mwake kuwa hakufanya unyenyekevu ndani yake. Je, inafaa kwake kuirudia?
Jibu: Hapana. Ajitahidi katika Rak´ah au swalah zilizosalia kuzinduka kuanzia mwanzo wake. Asijifungulie mlango wa wasiwasi.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 153
- Imechapishwa: 03/07/2022
Swali: Anayesoma Suurah katika swalah – ni mamoja al-Faatihah au nyingine – na akahisi mwishoni mwake kuwa hakufanya unyenyekevu ndani yake. Je, inafaa kwake kuirudia?
Jibu: Hapana. Ajitahidi katika Rak´ah au swalah zilizosalia kuzinduka kuanzia mwanzo wake. Asijifungulie mlango wa wasiwasi.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 153
Imechapishwa: 03/07/2022
https://firqatunnajia.com/anataka-kurudi-mwanzo-swalah-ambayo-hakunyenyekea/