Swali: Tunamjibu vipi ambaye anasema kuwa utikisaji wa kidole katika Tashahhud ni katika michezo inayoharibu swalah?
Jibu: Tunamrudi kwa yale tunayomrudi ambaye anasema kuwa Rukuu´ na Sujuud ni katika kucheza katika swalah. Hivyo ndivo tumeamrishwa.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 155
- Imechapishwa: 03/07/2022
Swali: Tunamjibu vipi ambaye anasema kuwa utikisaji wa kidole katika Tashahhud ni katika michezo inayoharibu swalah?
Jibu: Tunamrudi kwa yale tunayomrudi ambaye anasema kuwa Rukuu´ na Sujuud ni katika kucheza katika swalah. Hivyo ndivo tumeamrishwa.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 155
Imechapishwa: 03/07/2022
https://firqatunnajia.com/anasema-kutikisa-kidole-katika-tashahhud-ni-mchezo/