Anapuuza nadhiri aloweka ya kufunga Rajab

Swali: Mtu aliyeweka nadhiri ya kufunga mwezi wa Rajab kisha akaacha?

Jibu: Anapaswa kuilipa kwa kuifunga, atapata dhambi na anapaswa kutubu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 125
  • Imechapishwa: 03/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´