Anaposimama mwanamke pindi anaposwali na mume wake

Swali: Mke anasimama wapi wakati anaposwali na mume wake nyumbani?

Jibu: Anasimama nyuma yake. Na akisimama upande wa kulia hakuna neno kama walivyosema wanachuoni.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/leqa10-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 13/12/2014