Anaacha safu ya kwanza eti kwa kuchelea kujionyesha

Swali: Vipi kwa ambaye anaacha safu ya kwanza kwa kuogopa kujionyesha?

Jibu: Hapana, hili ni batili na ujinga. Huko hakuhusiani na kujionyesha. Huko kunahusiana, kwa mujibu wa madai yake, eti ni kuogopa kujionyesha. Hilo ni kosa. Anatakiwa kupupia safu ya kwanza na kulingania kwa Allaah na sambamba na hayo ajihadhari na kujionyesha.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24504/حكم-ترك-الطاعة-مخافة-الرياء
  • Imechapishwa: 19/10/2024