Swali: Mimi nimeoa. Nililala kwa mke wangu mpaka nikaota usingizini kana kwamba nafanya naye jimaa na manii yakatoka. Nilipoamka kutoka usingizini, nikaoga na nikajisafisha, kisha nikamwendea mke wangu na nikafanya naye jimaa. Je, nina dhambi au sina?
Jibu: Ikiwa hali halisi ni kama ulivyoeleza, basi huna dhambi kwa kutokwa na manii kwa sababu ya kuota ndoto. Unapaswa kuoga kutokana na hilo. Aidha unatakiwa kuoga mara ya pili kwa sababu ya kufanya jimaa na mke wako. Lakini ikiwa ungechelewesha kuoga kutokana na ndoto hiyo mpaka ukafanya jimaa na mke wako, kisha ukaoga kwa ajili ya yote mawili kwa kuoga mara moja, hakuna tatizo.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/301)
- Imechapishwa: 14/11/2026
Swali: Mimi nimeoa. Nililala kwa mke wangu mpaka nikaota usingizini kana kwamba nafanya naye jimaa na manii yakatoka. Nilipoamka kutoka usingizini, nikaoga na nikajisafisha, kisha nikamwendea mke wangu na nikafanya naye jimaa. Je, nina dhambi au sina?
Jibu: Ikiwa hali halisi ni kama ulivyoeleza, basi huna dhambi kwa kutokwa na manii kwa sababu ya kuota ndoto. Unapaswa kuoga kutokana na hilo. Aidha unatakiwa kuoga mara ya pili kwa sababu ya kufanya jimaa na mke wako. Lakini ikiwa ungechelewesha kuoga kutokana na ndoto hiyo mpaka ukafanya jimaa na mke wako, kisha ukaoga kwa ajili ya yote mawili kwa kuoga mara moja, hakuna tatizo.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/301)
Imechapishwa: 14/11/2026
https://firqatunnajia.com/ametokwa-na-manii-baada-ya-kuota-ndoto-ya-jimaa/