Swali: Alikusudia kwa hilo kulipa siku aliyokuwa anadaiwa ya Ramadhaan ya mwaka uliopita. Baada ya kupita nusu ya mchana akapewa taarifa kuwa siku hiyo ni siku ya kwanza ya Ramadhaan. Je, swawm yake inatosheleza kuwa ni swawm ya siku ya kwanza ya Ramadhaan au haitoshelezi?
Jibu: Ana ujira wake – Allaah akitaka – lakini haisihi. Haitoshelezi wala kwa kulipa ile siku aliyokuwa anadaiwa na wala haitoshelezi kwa Ramadhaan. Haitoshelezi kwa kulipa deni lake, kwa sababu siku hiyo iliangukia ndani ya Ramadhaan. Wala haisihi kwa Ramadhaan, kwa sababu hakunuia swawm ya Ramadhaan. Matendo hutegemea nia. Basi juu yake ni kulipa siku hiyo tu.

https://firqatunnajia.com/amelipa-deni-lake-la-ramadhaan-siku-ya-mwisho-ya-shabaan-kisha-ikabaini-kuwa-siku-hiyo-ni-ramadhaan/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket