Swali: Ni nini hukumu kwa imamu au maamuma akisema:
الله أكبر
”Allaah ni Mkubwa.”
badala ya kusema:
سمع الله لمن حمده
“Allaah amemsikia mwenye kumhimidi.”
au akasema kinyume chake?
Jibu: Haijuzu kufanya hivyo kwa makusudi. Wajibu kwa mwenye kuswali ni kuswali kama alivyokuwa akiswali Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hivyo anatakiwa kuleta Takbiyr mahali pake, kusema:
ربنا ولك الحمد
“Mola wetu, himdi zote ni Zako.”
mahali pake, na kusema:
Yeyote atakayefanya kinyume cha hilo kwa kusahau, basi hana dhambi. Hata hivyo anatakiwa kuleta sijda ya kusahau ikiwa ni imamu au anaswali peke yake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/290)
- Imechapishwa: 06/03/2026
Swali: Ni nini hukumu kwa imamu au maamuma akisema:
الله أكبر
”Allaah ni Mkubwa.”
badala ya kusema:
سمع الله لمن حمده
“Allaah amemsikia mwenye kumhimidi.”
au akasema kinyume chake?
Jibu: Haijuzu kufanya hivyo kwa makusudi. Wajibu kwa mwenye kuswali ni kuswali kama alivyokuwa akiswali Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hivyo anatakiwa kuleta Takbiyr mahali pake, kusema:
ربنا ولك الحمد
“Mola wetu, himdi zote ni Zako.”
mahali pake, na kusema:
Yeyote atakayefanya kinyume cha hilo kwa kusahau, basi hana dhambi. Hata hivyo anatakiwa kuleta sijda ya kusahau ikiwa ni imamu au anaswali peke yake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/290)
Imechapishwa: 06/03/2026
https://firqatunnajia.com/ameleta-takbiyr-wakati-wa-kuinuka-kutoka-kwenye-rukuu/