Amekwama kwenye foleni Minaa

Swali: Kuna mtu alikusudia kutoka Minaa tarehe 12 ambapo akakwama kwenye trafiki na hivyo jua likamzamia…

Jibu: Kama yuko njiani, anazingatiwa kuwa amekwishatoka. Hakuna neno. Aendelee na safari yake, kwa sababu trafiki ndio imemkwamisha. Midhali amekwishachukua mabegi yake na kuondoka, hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (23) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 14/06/2020