Swali: Ni wajibu kwa ambaye amekunywa maji dakika mbili baada ya Fajr kulipa siku hiy0?
Jibu: Ikiwa ana uhakika kuwa amekunywa maji baada ya kuingia alfajiri basi ni wajibu kwake kulipa. Ama akiwa hana uhakika kimsingi ni kwamba usiku bado unaendelea.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Liqaa’ Ramadhwaaniy Maftuuh 1437-09-20 http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/L-20-09-1437-01_01_0.mp3
- Imechapishwa: 23/06/2017
Swali: Ni wajibu kwa ambaye amekunywa maji dakika mbili baada ya Fajr kulipa siku hiy0?
Jibu: Ikiwa ana uhakika kuwa amekunywa maji baada ya kuingia alfajiri basi ni wajibu kwake kulipa. Ama akiwa hana uhakika kimsingi ni kwamba usiku bado unaendelea.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Liqaa’ Ramadhwaaniy Maftuuh 1437-09-20 http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/L-20-09-1437-01_01_0.mp3
Imechapishwa: 23/06/2017
https://firqatunnajia.com/amekunywa-maji-dakika-mbili-baada-ya-kuingia-alfajiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket