Amekufa kabla ya kutimiza nadhiri ya swalah

Swali 643: Vipi aliyekufa na juu yake kuna nadhiri ya swalah – je, ataswaliwa kwa niaba yake?

Jibu: Huenda ataswaliwa kwa niaba yake, kama:

”Aliyekufa na juu yake kuna swawm, basi atafungiwa na walii wake.”

يُوفُونَ بِالنَّذْرِ وَيَخَافُونَ يَوْمًا كَانَ شَرُّهُ مُسْتَطِيرًا

“Wale ambao wanatimiza nadhiri zao na wanaiogopa siku ambayo shari yake ni yenye kuenea.”[1]

[1] 76:07

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 226
  • Imechapishwa: 18/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´