Amekhalifu nadhiri yake ya kumwita mtoto wake jina fulani

Swali 640: Mtu aliyeweka nadhiri kumuita mwanawe Zayd, lakini hakumwita hivyo bali alimpa jina la ´Amr?

Jibu: Atalipa kafara ya kiapo, si jambo la lazima. Bali ni jambo linaloruhusiwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 225
  • Imechapishwa: 18/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´