Swali: Mtu ameswali baada ya kumalizika ule muda wa kupangusa juu ya soksi, hakukumbuka hilo isipokuwa ulipofika muda wa swalah inayofuata. Akisema alipe ile swalah ya kwanza, basi mkusanyiko wa swalah ya pili utampita. Je, akidhi ile swalah ya kwanza hata kama atakosa ule mkusanyiko wa swalah ya pili au aswali ule mkusanyiko wa swalah ya pili na kisha baada ya hapo alipe ile swalah ya kwanza?
Jibu: Maoni yanayotambulika ya madhehebu ni kwamba analazimika kulipa ile swalah iliyopita hata kama atakosa swalah ya mkusanyiko. Maoni sahihi ni kwamba aswali ile swalah ya kwanza na mkusanyiko kisha baada ya hapo ndipo atalipa ile swalah iliyompita. Akitaka pia ataswali mkusanyiko wa sasa na anuie ile swalah iliyopita. Baada ya hapo ndipo ataswali ile swalah ya sasa.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/220)
- Imechapishwa: 12/04/2026
Swali: Mtu ameswali baada ya kumalizika ule muda wa kupangusa juu ya soksi, hakukumbuka hilo isipokuwa ulipofika muda wa swalah inayofuata. Akisema alipe ile swalah ya kwanza, basi mkusanyiko wa swalah ya pili utampita. Je, akidhi ile swalah ya kwanza hata kama atakosa ule mkusanyiko wa swalah ya pili au aswali ule mkusanyiko wa swalah ya pili na kisha baada ya hapo alipe ile swalah ya kwanza?
Jibu: Maoni yanayotambulika ya madhehebu ni kwamba analazimika kulipa ile swalah iliyopita hata kama atakosa swalah ya mkusanyiko. Maoni sahihi ni kwamba aswali ile swalah ya kwanza na mkusanyiko kisha baada ya hapo ndipo atalipa ile swalah iliyompita. Akitaka pia ataswali mkusanyiko wa sasa na anuie ile swalah iliyopita. Baada ya hapo ndipo ataswali ile swalah ya sasa.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/220)
Imechapishwa: 12/04/2026
https://firqatunnajia.com/amegundua-kuwa-hana-wudhuu-wakati-wa-swalah-ya-pili/