Swali: Kuna mtu ameapa kwamba hatouza bidhaa fulani isipokuwa kwa pesa 100 ambapo akaiuza kwa pesa 90. Je, amevunja kiapo chake?
Jibu: Ndio. Akiapa kuwa hatoiuza isipokuwa kwa pesa 100 na akaiuza kwa chini ya hapo, amevunja kiapo chake. Lakini akiuza kwa thamani ya zaidi, hakuvunja kiapo chake.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
- Imechapishwa: 28/06/2024
Swali: Kuna mtu ameapa kwamba hatouza bidhaa fulani isipokuwa kwa pesa 100 ambapo akaiuza kwa pesa 90. Je, amevunja kiapo chake?
Jibu: Ndio. Akiapa kuwa hatoiuza isipokuwa kwa pesa 100 na akaiuza kwa chini ya hapo, amevunja kiapo chake. Lakini akiuza kwa thamani ya zaidi, hakuvunja kiapo chake.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (42)
Imechapishwa: 28/06/2024
https://firqatunnajia.com/ameapa-kutouza-bidhaa-kwa-chini-ya-pesa-100/