Swali: Ameacha wajibu, lakini hakuweza kufunga siku tatu akiwa Minaa na hivyo akarudi katika nchi yake. Je, atafunga zile kumi?
Jibu: Anawajibika kufunga siku kumi zote. Anaziunganisha zile tatu na zile saba na anafunga kumi katika nchi yake. Ikiwa alikuwa na udhuru kwa maradhi uliomzuia kufunga zile tatu, basi hakuna kosa juu yake. Ikiwa aliacha zile tatu kwa uzembe, basi juu yake ni kutubu pamoja na hilo. Atubu kwa Allaah kwa kuacha kufunga siku tatu katika Hijjah, yaani kabla ya ´Arafah au katika siku za ´Iyd. Kwa maana kwamba akitubu basi hilo linakuwa badala ya damu ya hadiy, hadiy ya Tamattu´.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2234/حكم-من-ترك-صيام-الثلاثة-ايام-بمنى
- Imechapishwa: 31/05/2026
Swali: Ameacha wajibu, lakini hakuweza kufunga siku tatu akiwa Minaa na hivyo akarudi katika nchi yake. Je, atafunga zile kumi?
Jibu: Anawajibika kufunga siku kumi zote. Anaziunganisha zile tatu na zile saba na anafunga kumi katika nchi yake. Ikiwa alikuwa na udhuru kwa maradhi uliomzuia kufunga zile tatu, basi hakuna kosa juu yake. Ikiwa aliacha zile tatu kwa uzembe, basi juu yake ni kutubu pamoja na hilo. Atubu kwa Allaah kwa kuacha kufunga siku tatu katika Hijjah, yaani kabla ya ´Arafah au katika siku za ´Iyd. Kwa maana kwamba akitubu basi hilo linakuwa badala ya damu ya hadiy, hadiy ya Tamattu´.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/2234/حكم-من-ترك-صيام-الثلاثة-ايام-بمنى
Imechapishwa: 31/05/2026
https://firqatunnajia.com/ameacha-kufunga-siku-tatu-minaa/