Swali 405: Vipi kuhusu aliyezuiwa kutokana na ´Arafah?

Jibu: Atoke ndani ya Ihraam na sifa zote njema anastahiki Allaah.

406 – Je, si afanye ´Umrah kama mtu aliyekosa Hijjah?

Jibu: Ndio, hivo ndio bora ikiwa anaweza.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 137
  • Imechapishwa: 21/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´