Swali: Ni kina nani ambao hawajumuishwi na uombezi?
Jibu: Makafiri. Kuna watenda madhambi ambao hawatopata uombezi. Hata hivyo Allaah atawatoa humo kwa usiokuwa uombezi. Hilo ni kutokana na fadhilah Zake (Subhaanah).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24567/من-الذين-لا-تشملهم-الشفاعة
- Imechapishwa: 03/11/2024
Swali: Ni kina nani ambao hawajumuishwi na uombezi?
Jibu: Makafiri. Kuna watenda madhambi ambao hawatopata uombezi. Hata hivyo Allaah atawatoa humo kwa usiokuwa uombezi. Hilo ni kutokana na fadhilah Zake (Subhaanah).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24567/من-الذين-لا-تشملهم-الشفاعة
Imechapishwa: 03/11/2024
https://firqatunnajia.com/ambao-hawatopata-uombezi/