Swali: Ni yepi makusudio ya ´amana` katika Aayah hii ulioifasiri?
Jibu: Makusudio ya amana/jukumu katika Aayah tulizotaja ni yale maamrisho na makatazo. Kwa msemo mwingine makalifisho katika ´ibaadah. Imekusanya yale yote ambayo ni wajibu kwa mtu kuyafanya na yale yote ambayo imeharamika kuyafanya ajiepushe nayo.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa´ ash-Shahriy (77) http://binothaimeen.net/content/1758
- Imechapishwa: 06/09/2020