Swali: Je, ni Sunnah mtu wakati mwingine kuiga matendo yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kama vile kitanda na chakula chake?
Jibu: Ni katika kunyenyekea. Hapana shaka kwamba ni katika kujishusha na kuivunja nafsi. Ni sawa mtu akifanya baadhi ya mambo ambayo yanapingana na anasa kwa ajili ya kuivunjisha moyo na kujizoweza uchamgamfu na unyenyekevu… lakini Allaah akikufungulia jifungue, kama alivosema ´Umar:
”Allaah akikufungulieni basi jifungueni.”
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anapokutana na jambo ambalo Allaah amemrahishishia, kwa mfano katika ndoa yake na Zaynab aligawa nyama na chakula kingi na akawaalika watu wa kawaida.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24333/%D9%87%D9%84-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D8%A7%D8%B3%D9%8A-%D8%A8%D8%AA%D9%88%D8%A7%D8%B6%D8%B9-%D8%A7%D9%84%D9%86%D8%A8%D9%8A-%EF%B7%BA-%D9%81%D9%8A-%D9%85%D8%B9%D9%8A%D8%B4%D8%AA%D9%87-%D8%B3%D9%86%D8%A9
- Imechapishwa: 30/09/2024
Swali: Je, ni Sunnah mtu wakati mwingine kuiga matendo yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kama vile kitanda na chakula chake?
Jibu: Ni katika kunyenyekea. Hapana shaka kwamba ni katika kujishusha na kuivunja nafsi. Ni sawa mtu akifanya baadhi ya mambo ambayo yanapingana na anasa kwa ajili ya kuivunjisha moyo na kujizoweza uchamgamfu na unyenyekevu… lakini Allaah akikufungulia jifungue, kama alivosema ´Umar:
”Allaah akikufungulieni basi jifungueni.”
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa anapokutana na jambo ambalo Allaah amemrahishishia, kwa mfano katika ndoa yake na Zaynab aligawa nyama na chakula kingi na akawaalika watu wa kawaida.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24333/%D9%87%D9%84-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D8%A7%D8%B3%D9%8A-%D8%A8%D8%AA%D9%88%D8%A7%D8%B6%D8%B9-%D8%A7%D9%84%D9%86%D8%A8%D9%8A-%EF%B7%BA-%D9%81%D9%8A-%D9%85%D8%B9%D9%8A%D8%B4%D8%AA%D9%87-%D8%B3%D9%86%D8%A9
Imechapishwa: 30/09/2024
https://firqatunnajia.com/allaah-akikufungulia-riziki-jiachie/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)