Swali: Mwenye kumtaliki mke wake katika hali yake ya hedhi. Je, kumrejea ni wajibu au…
Jibu: Ni wajibu. Mtume aliamrisha. Na maamrisho yanaashiria uwajibu. Ni wajibu kwa mume kumrudi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/10076
- Imechapishwa: 08/03/2018
Swali: Mwenye kumtaliki mke wake katika hali yake ya hedhi. Je, kumrejea ni wajibu au…
Jibu: Ni wajibu. Mtume aliamrisha. Na maamrisho yanaashiria uwajibu. Ni wajibu kwa mume kumrudi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/10076
Imechapishwa: 08/03/2018
https://firqatunnajia.com/aliyemtaliki-mke-wake-katika-hedhi-ni-wajibu-kumrudi/