Alama ya kujiaminisha na vitimbi vya Allaah

Swali: Ni zipi alama za mtu kujiaminisha na vitimbi vya Allaah?

Jibu: Miongoni mwa alama zake ni kwamba mtu anaendelea kwenye maasi na maovu na hajali. Hii ni dalili ya kwamba si mwenye kujali na kwamba yuko katika khatari kubwa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24623/ما-علامات-الامن-من-مكر-الله-تعالى
  • Imechapishwa: 15/11/2024