al-Haawiyah ni jina la Moto

Swali: al-Qaari´ah ni katika majina ya siku ya Qiyaamah au ni katika majina ya Moto?

Jibu: Anachokusudia ni al-Haawiyah na sio al-Qaari´ah. Ulimi umemteleza. al-Qaari´ah ni katika majina ya siku ya Qiyaamah. Ama al-Haawiyah ni katika majina ya Moto.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (14) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-10-15.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020