al-Haadiy na ash-Shaahid ni katika majina ya Allaah

Swali: Je, al-Haadiy na ash-Shaahid ni katika majina ya Allaah?

Jibu: Sijui kuhusu ash-Shaahid. Ni jambo linahitaji kuzingatiwa.

  • Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (26)
  • Imechapishwa: 10/10/2026