al-Fawzaan kuhusu wakati wa kusoma du´aa ya safari

Swali: Ni lini mtu anasema Du´aa ya safari; wakati anapotoka kwenye manyumba (ya mji wake) au wakati wanapoanza kupanda mpando?

Jibu: Akipanda mpando. Akipanda mpando aombe, sawa ikiwa ni nje ya manyumba au ndani ya manyumba, mfano akipanda gari, ndege na vipando vingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-10-08.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014