al-Faatihah baada ya kufungishwa ndoa

Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma al-Faatihah baada ya kumaliza kufungishwa ndoa?

Jibu: Halina msingi. Hakuna msingi wa kusoma al-Faatihah. Ufungishwaji wa ndoa ni mwanamke kuozwa (الايجاب) na kukubali (القبول). Hatujui jambo la kwamba kunasomwa al-Faatihah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (96) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahthat-12021440h.mp3
  • Imechapishwa: 09/06/2019