Swali: Kuwaraddi Ahl-ul-Bid´ah na kutahadharisha nao kunaingia katika kuamrisha mema na kukataza maovu?

Jibu: Ndio, ni aina kubwa ya kuamrisha mema na kukataza maovu. Lakini hata hivyo hakuna wenye kuraddi isipokuwa wanachuoni; wao ndio wenye ujuzi juu ya Ruduud na dalili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (14) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–14330720.mp3
  • Imechapishwa: 09/06/2020