Swali: Adhaana ya kurekodiwa inasihi?
Jibu: Adhaana iliyorekodiwa sio sahihi. Kwa sababu adhaana ni ´ibadah na ´ibaadah ni lazima anuiwe.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Arkaan-il-Islaam, uk. 285
- Imechapishwa: 28/04/2020
Swali: Adhaana ya kurekodiwa inasihi?
Jibu: Adhaana iliyorekodiwa sio sahihi. Kwa sababu adhaana ni ´ibadah na ´ibaadah ni lazima anuiwe.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Arkaan-il-Islaam, uk. 285
Imechapishwa: 28/04/2020
https://firqatunnajia.com/adhaana-ya-kanda-kaseti-02/