Swali: Inasihi adhaana iliyorekodiwa?

Jibu: Adhaana iliyorekodiwa sio sahihi. Kwa sababu adhaana ni ´ibaadah, na ´ibaadah ni lazima ifanyiwe nia.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/188)
  • Imechapishwa: 10/04/2026