Swali: Je, (النَّاصر) ni katika majina ya Allaah?
Jibu:
Mnusuraji (النَّصير):
نِعْمَ الْمَوْلَىٰ وَنِعْمَ النَّصِيرُ
”Mlinzi mzuri aliyoje na Mnusuruji mzuri alioje!”[1]
Kuhusu (النَّاصر) sijui chochote katika mapokezi.
Swali: Vipi kuhusu jina la ´Abdun-Naaswir?
Jibu: Kuacha kufanya hivo ni bora zaidi. Ni sawa akaitwa ´Abdun-Naaswir au ´Abdul-Malik. Kuhusu (النَّاصر) sijui chochote katika mapokezi.
[1] 07:40
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31038/ما-حكم-التسمي-بـعبد-الناصر
- Imechapishwa: 26/09/2025
Swali: Je, (النَّاصر) ni katika majina ya Allaah?
Jibu:
Mnusuraji (النَّصير):
نِعْمَ الْمَوْلَىٰ وَنِعْمَ النَّصِيرُ
”Mlinzi mzuri aliyoje na Mnusuruji mzuri alioje!”[1]
Kuhusu (النَّاصر) sijui chochote katika mapokezi.
Swali: Vipi kuhusu jina la ´Abdun-Naaswir?
Jibu: Kuacha kufanya hivo ni bora zaidi. Ni sawa akaitwa ´Abdun-Naaswir au ´Abdul-Malik. Kuhusu (النَّاصر) sijui chochote katika mapokezi.
[1] 07:40
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31038/ما-حكم-التسمي-بـعبد-الناصر
Imechapishwa: 26/09/2025
https://firqatunnajia.com/abdun-naswiyr-na-si-abdun-naaswir/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket