203-
اللّهُـمَّ إِنّـي أَعـوذُبِكَ أَنْ أُشْـرِكَ بِكَ وَأَنا أَعْـلَمْ، وَأَسْتَـغْفِرُكَ لِما لا أَعْـلَم
”Ee Allaah! Hakika mimi najilinda Kwako kutokamana na kukushirikisha hali ya kuwa najua na nakuomba msamaha kwa nisiyoyajua.”[1]
[1] Ahmad (04/403) na wengineo. Tazama ”Swahiyh-ul-Jaamiy’” (03/233) na ”Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (01/122) ya al-Albaaniy.
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 03/05/2020