202-
بارَكَ اللهُ لَكَ في أَهْلِكَ وَمالِك، إِنَّما جَـزاءُ السَّلَفِ الْحَمْدُ والأَداَءُ
“Allaah akubarikie familia yako na mali yako. Hakika malipo ya mkopo ni kushukuru na kulipa.”[1]
[1] an-Nasaa´iy katika ”‘Amal-ul-Yawm wal-Laylah”, uk. 300 na Ibn Maajah (02/809). Tazama ”Swahiyh Ibn Maajah” (02/55).
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 03/05/2020