Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:
Allaah ndiye anajua zaidi. Swalah na salamu ziwe juu ya Muhammad, familia yake na Maswahabah zake.
MAELEZO
Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amemalizia kitabu chake kwa kuirudisha elimu kwa Allaah (´Azza wa Jall) na kumtumia swalah na amani Mtume wake Muhammad (Swalla Allahu ´alayhi wa sallam).
Hapa ndio mwisho wa “al-Usuwl ath-Thalaathah”. Tunamuomba Allaah amlipe mtunzi kwa njia iliyokuwa nzuri kabisa, atujaalie kuweza kupata sehemu katika ujira wake na atukutanishe sisi na yeye Peponi – hakika Yeye ndiye Mwingi wa kutoa.
Himdi njema zote ni stahiki ya Allaah, Mola wa walimwengu. Swalah na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Thalaathat-il-Usuwl, uk. 161
- Imechapishwa: 05/06/2020
Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:
Allaah ndiye anajua zaidi. Swalah na salamu ziwe juu ya Muhammad, familia yake na Maswahabah zake.
MAELEZO
Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amemalizia kitabu chake kwa kuirudisha elimu kwa Allaah (´Azza wa Jall) na kumtumia swalah na amani Mtume wake Muhammad (Swalla Allahu ´alayhi wa sallam).
Hapa ndio mwisho wa “al-Usuwl ath-Thalaathah”. Tunamuomba Allaah amlipe mtunzi kwa njia iliyokuwa nzuri kabisa, atujaalie kuweza kupata sehemu katika ujira wake na atukutanishe sisi na yeye Peponi – hakika Yeye ndiye Mwingi wa kutoa.
Himdi njema zote ni stahiki ya Allaah, Mola wa walimwengu. Swalah na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Thalaathat-il-Usuwl, uk. 161
Imechapishwa: 05/06/2020
https://firqatunnajia.com/90-mwisho-wa-kitabu/