“Yeyote mwenye kuhifadhi Aayah kumi za mwanzoni wa Suurah “al-Kahf” atalindwa kutokamana na ad-Dajjaal.”[1]
Pia inatakiwa kuomba kinga kwa Allaah kutokamana na fitina zake punde tu baada ya Tashahhud ya mwisho katika kila swalah[2].
[1] Muslim (01/555). Kuna upokezi mwingine unaosema mwishoni mwa “al-Kahf” (01/556).
[2] Tazama Hadiyth nambari. (55) na Hadiyth (56) ukurasa wa 41 kutoka katika kitabu hiki.
- Muhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Huswn-ul-Muslim
- Imechapishwa: 03/05/2020