Nayo ni Sunnah. Kwa mtoto wa kiume kuchinjwa mbuzi wawili wanaolingana. Kwa mtoto wa kike huchinjwa mbuzi mmoja. Huchinjwa siku ya saba.
Kichwa chake hunyolewa, ambapo hutoa swadaqah kwa uzito wa nywele zake kwa fedha.
Ikiwa siku ya saba itapita, basi hufanywa siku ya kumi na nne. Ikiwa nayo itapita, basi siku ya ishirini na moja.
Mnyama huyo hukatwa vipande, lakini mfupa wake hauvunjwi.
Hukumu yake ni kama hukumu ya Udhhiyah katika mambo mengine yote.
- Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 51
- Imechapishwa: 16/11/2026
Nayo ni Sunnah. Kwa mtoto wa kiume kuchinjwa mbuzi wawili wanaolingana. Kwa mtoto wa kike huchinjwa mbuzi mmoja. Huchinjwa siku ya saba.
Kichwa chake hunyolewa, ambapo hutoa swadaqah kwa uzito wa nywele zake kwa fedha.
Ikiwa siku ya saba itapita, basi hufanywa siku ya kumi na nne. Ikiwa nayo itapita, basi siku ya ishirini na moja.
Mnyama huyo hukatwa vipande, lakini mfupa wake hauvunjwi.
Hukumu yake ni kama hukumu ya Udhhiyah katika mambo mengine yote.
Muhusika: Imaam Muwaffaq-ud-Diyn bin Qudaamah al-Maqdisiy (afk. 620)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ´Umdat-ul-Fiqh, uk. 51
Imechapishwa: 16/11/2026
https://firqatunnajia.com/77-vigezo-vya-aqiyqah/