75. Anayosema mfungaji anapotukanwa ilihali amefunga

  Download

186-

إنِّي صَائِمٌ، إنِّي صَائِمٌ

“Hakika mimi nimefunga, hakika mimi nimefunga.”[1]

[1] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (04/103) na Muslim (02/806).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 02/05/2020