71. Du´aa ya mgeni kumuombea aliyemwalika chakula

  Download

182-

اللّهُـمَّ بارِكْ لَهُمْ فيما رَزَقْـتَهُم، وَاغْفِـرْ لَهُـمْ وَارْحَمْهُمْ

“Ee Allaah! Wabariki katika kile ulichowaruzuku na wasamehe na uwarehemu.”[1]

[1] Muslim (03/1615).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 02/05/2020