67. Du´aa ya kuona mwezi mwandamo

  Download

175-

اللهُ أَكْـبَر، اللّهُمَّ أَهِلَّـهُ عَلَيْـنا بِالأمْـنِ وَالإيمـان، والسَّلامَـةِ والإسْلامِ، وَالتَّـوْفيـقِ لِما تُحِـبُّ وَتَـرْضَـى، رَبُّنـا وَرَبُّكَ اللهُ

”Allaah ni mkubwa! Ee Allaah! Uanzishe kwetu kwa amani na imani, usalama na Uislamu, kutuwafikisha kwa yale unayoyapenda na kuyaridhia, Mola wetu na Mola wako ni Allaah.”[1]

[1] aT-Tirmidhiy (05/504) na ad-Daarimiy (01/336) kwa tamko lake. Tazama “Swahiyh-ut-Tirmidhiy” (03/157).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 02/05/2020