4 – ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) amesema:

“Wapanda farasi wanaume walikuwa wakitupitia na sisi tuko kwenye Ihraam pamoja na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Wanapotukaribia, kila mmoja wetu anateremsha jilbaab yake usoni mwake. Wanapokuwa wameshapita, tunajifunua tena.”[1]

[1] Ahmad (6/30), Abu Daawuud, Ibn-ul-Jaaruud (418) na al-Bayhaqiy katika ”al-Hajj” kwa cheni ya wapokezi nzuri pamoja na yale mapokezi yanayoitia nguvu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 107-108
  • Imechapishwa: 05/10/2023