58. Harufu yenye kuenea inaharibu swawm?

Swali 58: Harufu yenye kuenea, kama petroli, inaharibu swawm[1]?

Jibu: Hapana, haiharibu swawm isipokuwa ikiwa kama mtu atanusa kwa kukusudia.

[1] Kutoka ”Fath-ur-Rabb al-Waduud” (1/251).

Mwisho

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 74-75
  • Imechapishwa: 13/06/2017