53 – Mujaahid ameeleza kwamba ´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
”Allaah ameviumba vitu vinne kwa mkono Wake: ´Arshi, kalamu, Aadam na Pepo ya Edeni. Kisha akaviumba viumbe vyengine: ”Kuweni!” na vikawa.”[1]
Cheni ya wapokezi wake ni nzuri.
[1] ad-Daarimiy, Abush-Shaykh katika “al-´Adhwamah” na al-Laalakaa’iy. Cheni ya wapokezi ni Swahiyh kwa mujibu wa sharti za Muslim.
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 105
- Imechapishwa: 24/06/2024
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
53 – Mujaahid ameeleza kwamba ´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allaahu ´anh) amesema:
”Allaah ameviumba vitu vinne kwa mkono Wake: ´Arshi, kalamu, Aadam na Pepo ya Edeni. Kisha akaviumba viumbe vyengine: ”Kuweni!” na vikawa.”[1]
Cheni ya wapokezi wake ni nzuri.
[1] ad-Daarimiy, Abush-Shaykh katika “al-´Adhwamah” na al-Laalakaa’iy. Cheni ya wapokezi ni Swahiyh kwa mujibu wa sharti za Muslim.
Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Mukhtasar-ul-´Uluww, uk. 105
Imechapishwa: 24/06/2024
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/56-vitu-vinne-allaah-ameviumba-kwa-mkono-wake/